NAHISI ZIWEZI KUENDELEA KUWA MPWEKE, NAHITAJI PENZI

0 comments

Toka niachane na boyfiend wangu ni mwaka sasa nimejitajidi kuwa mwenyewe kwa muda lakini naona sina sababu na mimi nahitaji kupendwa, nahitaji mtu wa kuwa karibu nae na kumwambia yaliyo moyoni mwangu. Nimechoka na upweke jamani.!! tatizo ni kwamba Kila atakaye nitongoza naona kama ndio wale wale tu hakuna jipya...Ila sasa nimeamua Acha number au e-mail mwenye Bahati Ntampigia tuongeee.

Read More »

CHAGGA BARBIE ATUPIA PICHA INSTA KUONESHA MAKALIO YAKE...NICE

0 comments

 Baada ya Diva wa clouds Fm kuachia picha tata kupitia mtandao wa instagram (kama hukuiona bofya HAPA) Alifata Lulu michael kuachia picha yenye mitego (kama hukuona ya Lulu bofya HAPA) sasa ni zamu ya Chagga Barbie ambaye alikuwa mpenzi wa Prezzo kuachia picha tata, Tazama hapo chini


Read More »

NISHA BADO YUPO YUPO SANA

0 comments

Stori: Chande Abdallah
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa.

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’.
Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja.
kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima aolewe, lakini kwangu bado niponipo sana jamani. Muda ukifika ndiyo itajulikana, lakini siyo leo wala kesho,” alisema Nisha.

Read More »

HAYA SASA STEVE NYERERE, BATULI HAPATOSHI

0 comments

Stori: Gabriel Ng’osha
Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ na mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ wameingia kwenye bifu zito baada ya kutofautiana katika makubaliano ya kikazi.
Yobnesh Yusuf ‘Batuli’.
Kwa mujibu wa chanzo makini, hivi karibuni wawili hao waliingia kwenye mabishano wakati Steve Nyerere alipokuwa akiandaa filamu yake mpya iitwayo Get Out ambapo alipaswa kumshirikisha Batuli.
Ilisemekana kwamba jamaa huyo alipompigia simu, mwanadada huyo alichomoa baada ya kuona makubaliano ya kifedha hayazungumziwi.
                    Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’
“Batuli alipohoji kuhusu malipo, Steve hakuweka wazi ndipo mambo yalipoharibika, kikanuka kisha Batuli akamvaa kwa maneno kiongozi huyo na kudai hana sifa za kuwa kiongozi,” kilisema chanzo chetu.
Ili kujiridhisha na madai hayo, mwanahabari wetu alimwendea hewani Batuli ambapo alipatikana na kukiri kuwa ametofautiana na

Steve chanzo kikiwa ni filamu hiyo. “Aliponipigia simu nilimwambia sitaweza kwenda kushuti kwa sababu hakuna makubaliano yoyote tuliyofanya ikiwemo gharama, usafiri, mavazi na vinginevyo ndipo akamaindi na kuanza kulaumu na kisha kukata simu,” alisema Batuli.
Ishu haikuishia hapo, taarifa zinadai kuwa baada ya Steve kutofurahishwa na majibu ya Batuli, aliendelea kumtumia meseji za kumlaumu ndipo Batuli alipochachamaa zaidi kwa kujibu mashambulizi.
Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’
“Steve anapaswa akasomee utawala na uongozi bora kwani hafai kuwa kiongozi, hana busara, kwa sababu kabla sijagombana naye nilikuwa nikisikia maneno na majungu ila baada ya ugomvi wangu na yeye nimegundua hafai,” alisema Batuli na kuongeza:“Ananiambia mimi ni msanii mchanga ilihali mimi kwenye kiwanda nipo kwa miaka kumi na nne na mwaka 2,000 wakati naanza yeye alikuwa anachekesha watu ili apate kula kwanza nimemdharau kwa sababu amekuwa akinichonganisha na wasanii wa Bongo Movie eti mimi nimewaambia wanajiuza.”
Baada ya Batuli kufunguka, gazeti hili lilimgeukia Steve Nyerere na kumsomea madai hayo ambapo alifunguka:“Sipendwi na watu na sijui nini tatizo, nikiwa kama dairekta nina uwezo wa kumchagua huyu nifanye naye kazi na huyu kumuacha,

yule (Batuli) kama analeta chuki basi zitakuja hivyo basi ni nyingi tu,’’ alisema Nyerere na kuongeza:
“Kwa heshima niliyoitengeneza kwa miaka 32 alafu nije nigombane na mwanamke, kwanza nagombana naye nini? Nashukuru nimepata ushauri, naendelea na kazi ya kutetea maslahi ya Bongo Muvi kama ni filamu mimi nilishachezesha msanii mwengine.”

Read More »

NAHISI ZIWEZI KUENDELEA KUWA MPWEKE, NAHITAJI PENZI

0 commentsToka niachane na boyfiend wangu ni mwaka sasa nimejitajidi kuwa mwenyewe kwa muda lakini naona sina sababu na mimi nahitaji kupendwa, nahitaji mtu wa kuwa karibu nae na kumwambia yaliyo moyoni mwangu. Nimechoka na upweke jamani.!! tatizo ni kwamba Kila atakaye nitongoza naona kama ndio wale wale tu hakuna jipya...Ila sasa nimeamua Acha number au e-mail mwenye Bahati Ntampigia tuongeee....

Read More »

MKE/GIRL FRIEND WAKO ANAPOPIGWA MAKOFI NA JAMAA HUKU UKISHUHUDIA

0 comments
Hebu fikiria, umetoka na mkeo kwa ajili ya mlo wa jioni. Mgahawa ni mzuri uko pembezoni mwa bahari. Upepo mwanana unazifurahisha nyoyo zenu. Mnakumbushana milima na mabonde mliyopitia. Mnacheka kwa furaha huku mkipongezana na kumshukuru Mungu kwa jinsi mnavyovumiliana na kupenda. 

Mnaongelea kuhusu mipango yenu kazini, na namna ya kuboresha miradi yenu binafsi. Mkiwa katikati ya maongezi, anatokea jamaa mmoja. Ghafla anaanza kumrapua vibao mkeo eti anaringa sana.

Humfahamu wala hujawahi kumuona. Siku hiyo ndio unamuonba kwa mara ya kwanza na hii ndio picha yake hali baada ya kumaliza kumpiga mkeo

Je utamfanya nini ili kumzuia asiendelee kumuumiza mkeo?

Read More »

MAMA AMSAMEHE NA KUMFUNGUA KITANZI MFUNGWA ALIYE HUKUMIWA KUFA KWA KUMUUA MWANAE

0 comments
Wanasema uchungu wa mwana aujuae mzazi! Na kutokana na uchungu huo wa mama, ni vigumu kumshawishi akae meza moja na mtu aliyemuua mwanae kwa makusudi tena kwa kumpiga hadi kuhakikisha anakata roho.

Lakini imekuwa tofauti na jambo lililowaacha mdomo wazi umati wa watu uliohudhuria kushuhudia kunyongwa kwa mwanaume aliyemuua kijana mwenye umri wa miaka 18 nchini Iran ambako hukumu ya kunyongwa hadharani ni kawaida kwa mtu aliyepatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia, pale ambapo mama mzazi wa marehemu alipoingilia na kumfungua kitanzi muuaji huyo sekunde ya mwisho.

Kwa mujibu wa The Guardian, mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina la Balal alikuwa tayari amefungwa kitambaa cheusi na kuvalishwa kitanzi akisubiri amri ya kitanzi kufyatuliwa, ghafla mama huyo alimzaba kibao usoni na kuanza kumfungua kitanzi akisaidiana na mumewe!

“Mimi ni mtu wa imani.” Alisema mama huyo aliyefahamika kwa jina la Samereh Alinejad. “Nilipata ndoto ambayo mwanangu alikuwa ananiambia kuwa yuko katika sehemu nzuri na yenye amani…baada ya hapo, ndugu zangu wote, hata mama yangu, wakaanza kunihimiza nimsamehe muuaji huyu.”

Balal alihukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga vibaya Abdollah Hosseinzadeh (18) hadi kumuua katika ugomvi uliotokea mtaani kati yao mwaka 2007.

Read More »

MSANII BABY MADAHA HAELEWEKI KABISA...CHEKI HAPA

0 comments
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anashindwa kumtathimini msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha kutokana na kujitenga na wasanii wenzake.
Msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha. 
Akifafanua kauli yake, Steve alisema mwanadada huyo anamshangaza sababu hajui yupo kundi lipi kwa kuwa kwenye Bongo Movie hayupo na wala hana kadi ya chama chochote akiwa kama msanii na mbaya zaidi hajitokezi kujumuika na wenzake.
“Hana kadi ya chama chochote na isitoshe anajitenga na wasanii wenzie, hahudhurii kwenye shughuli yoyote ile iwe ya huzuni au furaha, kiukweli simuelewi, abadilike,” alisema Steve.
Paparazi wetu alipomtafuta Baby Madaha kuzungumzia ishu hiyo alisema ana mambo mengi ya kufanya ndiyo maana huwa hashirikiani na wenzake, akipata nafasi atahudhuria.

Read More »

RAY C FOUNDATION YAJA NA KIPINDI CHA TV "PAMOJA INAWEZEKANA". SOMA HAPA MAUDHUI YAKE

0 comments

Msanii wa muziki Rehema Chalamila "Ray C", kupitia Ray C Foundation ameanza kuandaa kipindi chake cha TV "Pamoja Inawezekana" ili kuendelea na jitihada za kuendeleza kuelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya.

k (2)
Ray C akiwa na JB katika maandalizi ya kipindi kipya cha ‘Pamoja Inawezekana’
Ray C kupitia instagram yake amesema: Preparing my TV programme Pamoja Inawezekana, Ray C foundation inawaletea kipindi cha pamoja inawezekana, stay tuned people more to come.
Kipindi maalum cha "Pamoja Inawezekana’ kitakujia hivi karibuni, makubwa mengi yatakuja kupitia Taasisi yetu, kwa walio mikoani tupigie 0658009715 au barua pepe raycfoundation2014@gmail.com, itakuwa na mambo mbalimbali yanayohusu matatizo au athari za madawa ya kulevya, tutawatangazia hivi karibuni. Ewe ndugu jamaa rafiki anaesumbuliwa na madawa ya kulevya usisite kuwasiliana na sisi tutakusaidia kwa hali na mali”Alisema Ray C

Read More »

TAZAMA PICHA BILIONEA WAREN BUFFET AKIRUKA KIMASAI NJE YA UWANJA WA NDEGE WA KIA KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPOT

0 commentsRead More »

CHRISTINA MILLAN AZAMA KATIKA MCHEZO MCHAFU PICHAZ ZAKE ZA KWICHI KWICHI ZIMEVUJA. CHECK HAPA

0 comments
Ni laana juu ya laana. huyu ni Christina Milian...Msanii mkubwa sana wa Marekani na dunia nzima. 
Picha alizopiga ni aibu kusema Nisiweke maneno mengi sana 
INGIA HAPA--- WAKUBWA TU

Read More »

LAANA KUBWA SANA HII: LECTURE NA MWANAFUNZI WAKE WAJIREKODI WAKIWA OFISINI WAKICHEZA VIDUKU MPAPASO

0 comments 

Read More »

LULU KWELI KAPINDA AMUA KUANIKA MAZIWAA YAKE NJENJE, KWELI HILI NI BALAA,ETRI WANASHINDANA NA DIVA

0 comments

Jana kupitia mtandao wa kijamii Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na kuzua maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya hivyo.
leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo janSiku hizi imekuwa ni fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na kusahau kuwa wao ni kioo cha jamii.  Mdau una maoni gani kuhusu hii swala??

Read More »

MADAKTARI WASHINDWA KUUNGANISHA UUME WA MWANAMUZIKI ALIYE JIKATA MAKUSUDI

0 comments

Rapper mwenye uhusiano na kundi la Wu-Tang Clan, Andre Johnson hana tena kiungo kinachomfanya aitwe mwanaume kwakuwa madaktari wameshindwa kuunganisha.

Mtandao wa TMZ uliandika kuwa Johnson aka Christ Bearer aliukata uume wake jana Jumatano na kujirusha kwenye nyumba ya ghorofa mbili anakoishi huko North Hollywood kwa kile kinachodaiwa kutaka kujiua. Alikimbizwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center lakini uume wako umedaiwa kukatika kabisa.

Johnson/Christ Bearer ni member wa kundi liitwalo Northstar, lilioanzishwa na rapper Wu-Tang Clan, RZA. Kulikuwepo na rappers wengine kwenye tukio hilo waliokanusha kuwepo na madawa ya kulevya kiasi cha kumfanya achukue uamuzi huo. Wanaamini kuwa Johnson/Christ Bearer anaweza kuwa na matatizo ya kiakili.

Read More »

VYAMA 10 VYA UPINZANI BADO VIMO BUNGENI..VYAGOMA KUJIUNGA NA UKAWA

0 comments

ZAIDI ya vyama 10 vya siasa vya upinzani visivyo Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vyenye wajumbe katika Bunge Maalum la Katiba wamegoma kuunga mkono Ukawa baada ya kuamua kubaki ndani ya Bunge hilo kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.

Ukawa wakiongozwa na mmoja wa viongozi wake, Profesa Ibrahimu Lipumba, juzi walitoka bungeni kwa madai kuwa, mjadala unaoendelea umekuwa wa matusi, ubaguzi na vitisho huku wajumbe wakilazimishwa kuridhia serikali mbili zisizo mapendekezo ya rasimu.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, leo alieleza kupata ujumbe wa uwepo wa wajumbe kutoka katika vyama hivyo na kuwatangazia wajumbe baada ya ombi kutolewa kwamba wajumbe walitaka kufahamu kama bungeni humo, wapo wanasiasa wa vyama vya upinzani.

Akithibitisha uwepo wa wajumbe wa vyama hivyo baada ya kukaribishwa kuthibitisha hilo na Sitta, Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha APPT-Maendeleo, Peter Mziray alivitaja vyama hivyo kwa majina na wajumbe waliokuwemo bungeni walisimama.

“Mheshimiwa Mwenyekiti nashukuru kupata fursa hii kwamba mtambue tupo, kwanza niseme tu kwamba tutahakikisha Katiba inapatikana na nimepokea ujumbe wananchi wanawataka warudi, mambo yote yanamalizwa mezani,” alisema Mziray.

Miongoni mwa vyama vilivyotajwa kuwepo bungeni ni pamoja na Demokrasia Makini, ADC, Jahazi Asilia, Wakulima AFP, Tadea, UPDP, TLP, CCK, Chausta, Sauti ya Umma (SAU), UND na chama cha DP kinachoongozwa na Mchungaji Christopher Mtikila ambacho mjumbe mmoja alikuwepo.

Mziray alisema vyama vyao vina usajili wa kudumu na havitaondoka bungeni mpaka Katiba ipatikane kwa mujibu wa sheria.

Naye kiongozi wa UDP, Gidion Cheyo alisema wapo bungeni kujadili mustakabali wa nchi ndio maana pamoja na kwamba wengine wao ni Ukawa, hawakutoka bungeni.

Read More »

KAJALA AWA BALOZI WA WANAWAKE BONGO

0 comments

Stori:IMELDA MTEMA
Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni alipata shavu la nguvu baada ya kuibuka kuwa balozi wa wanawake Tanzania nzima kupitia taasisi ya Women Connect iliyopo jijini Dar.
Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja.
Akizungumza na Ijumaa, mkurugenzi wa taasisi hiyo, Hafsa Semdaiya alisema wameamua kumchagua Kajala kwa kuamini ni kioo cha jamii na ni staa wa kwanza kuonesha moyo wa kuitikia wito kwani alianza kwa kutoa misaada kwenye kituo cha watu walioathirika na madawa ya kulevya.
“Kwa kweli kigezo kikubwa tulichokiona kwa Kajala ni moyo wake wa kujitoa na pia tumemuona ni kioo cha jamii na kama mwanamke anayejali, amekuwa mstari wa mbele kwenye kutoa misaada mbalimbali kwa watu wenye uhitaji,” alisema Semdaiya.
Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa, taasisi hiyo inajihusisha na vitu vingi ila Kajala atahusika zaidi na kuchangisha fedha ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kuwasaidia wanawake wenye vimbe mbalimbali.

Read More »

AGNESS MASOGANGE APEWA ZA USO LIVE CHAAAAA.............

0 comments

Agnes Jerald 'Masogange'.
AGNES Jerald, binti anayetumika sana kunengua na pozi katika video za nyimbo za wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya, amejipatia umaarufu mkubwa sana baada ya kufanya kazi na mkali wa Morogoro, Belle 9 katika kibao chake cha Masogange.
Limegeuka kuwa jina lake na mwenyewe analitumia kikamilifu katika harakati za kimjini. Lakini aligeuka kuwa kipusa zaidi baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo jijini Johannesburg mwaka jana, akiwa na shehena kubwa ambayo Tanzania ilijulikana kama madawa ya kulevya, lakini Afrika Kusini wakasema ni malighafi inayoweza kutumika kutengeneza mihadarati.
Masogange ni msichana ambaye Mwenyezi Mungu amemjaalia uzuri wa asili wa Kiafrika. Ana sura nzuri ambayo bado hajaanza kuikoboa kwa mikorogo na mwili unaoendana na umbo lake maridhawa.
Sifa moja kubwa ya uzuri wa msichana huyu, ni maumbile yake ya nyuma, amejazia kiasi ambacho ni wanaume wachache, tena walio waadilifu kwelikweli, wanaoweza kupishana naye na wasigeuke nyuma kuhakikisha walichokiona!
Baada ya kuachiwa kutoka mahabusu nchini Afrika Kusini ambako alishindwa kesi ya kukutwa na shehena ile ya madawa ya kulevya, Masogange alijikuta akiwa gumzo kubwa jijini Dar es Salaam, kiasi kwamba pamoja na kuachiliwa, bado ilimchukua muda mrefu kurudi nyumbani.
Akiwa huko kwa Madiba, binti huyu alikuwa akiweka picha zake kila mara katika mitandao ya kijamii inayopatikana katika Internet, hasa Instagram. Ni utamaduni mpya kwa wasichana wa Kibongo siku hizi, wengi wanapenda kutupia picha zao humo na watu ambao huwaona, huwasifia kama wamependeza au huwaponda kama wamechukiza.
Lakini katika hali isiyotarajiwa kabisa, wiki kadhaa zilizopita, Masogange aliweka picha yake huko, ikionyesha sehemu kubwa ya mwili wake, ikiwa imepakwa hina.
Aliipaka kwa staili ambayo mtu akiitazama haraka haraka anaweza kudhani ni Tattoo, ile michoro inayochorwa kwa sindano mwilini ambayo hapo awali tulianza kuiona kwa wasanii wa Kimarekani.
Lakini kitu kibaya katika picha hiyo ni kwamba Masogange amepiga picha mguu wake akiwa amepaka hina hiyo hadi juu kabisa pajani.
Baadaye akapiga picha nyingine akiwa amevaa kimini, lakini kikionyesha sehemu ya paja hilo lililopakwa urembo huo ambao pia hutumiwa na wanawake wa Kiislamu wakati wa ndoa!
Ni picha ambayo mwanaume yeyote mkware akiiona, anavuta hisia za mahitaji ya kimapenzi. Na nieleweke, siyo Masogange tu anayetupia picha za aina hii, wasichana wengi hufanya hivi na baadhi yao, baada ya kuziweka, huweka pia na namba zao za simu, ukiwa na shida nao uwatafute!
Sitaki kuamini moja kwa moja kwamba msichana huyu ambaye amepata umaarufu bila ya kutarajiwa anajiuza, lakini ni vigumu sana kwa picha zile kuacha kusadiki jambo hili kama mtu mmoja atajitokeza na kutoa madai kama hayo.
Inakuaje mtoto wa kike, mwenye jina, tena na uzuri wako bomba kabisa wa asili, unapiga picha za namna ile na kuziweka hadharani? Nafikiri siyo sawa, zipo picha zinazopaswa kuendelea kubakia chumbani.
Kwa jinsi mambo yanavyotokea, unapata kabisa hisia kwamba kumbe dada zetu wanatafuta umaarufu kwa nguvu kwa malengo binafsi, yasiyo ya kimaadili na yenye kuchefua.
Wakishapata majina na bahati nzuri kuanza kufuatiliwa na vyombo vya habari, vikitanguliwa na magazeti, wanaanza makeke!
Kwa kutambua kwamba sura zao zinafahamika, badala ya kujistahi, ndiyo kwanza utashangaa kuona wanavaa mavazi yenye utata, kumbe tunaanza kuelewa kuwa wanafanya hivi ili kujitangaza, kama wanavyosema mabingwa wa uchumi, biashara matangazo.
Ndiyo maana nimejikuta tu nikijiuliza, hivi Agnes akiambiwa kuwa anajiuza kupitia mitandao ya kijamii, atakataa?

Read More »

KAMA HUNA MIAKA 18 HURUHUSIWI KUANGALIA VIDEO HII YA HUYU MODEL AKITWERK

0 commentsYule model matata anayeitingisha Kenya kwa umbile lake kuwa zuri na kuwachanganya wanaume Corazon Kwamboka aliamua kuachia video akionekana anasakata muziki kwa kutingisha umbo lake nene

Tazama hapa chini

Read More »

INASIKITISHA SANA,MESEJI ZA WATU WALIOKUWA KWENYE MELI KWENDA KWA NDUGU ZAO WAKATI MELI INAZAMA.

0 comments
Meli ya Korea Kusini iliyokua imebeba zaidi ya abiria 460 wengi wakiwa ni Wanafunzi, ilizama kusini mwa pwani ya nchi hiyo siku ya Jumatano asubuhi ambapo mpaka sasa wengi hawajapatikana huko Korea Kusini ilikozama na ni siku moja tu baada ya ajali ripoti zimeanza kutoka za msg zilizotumwa na wale waliokuwa wamekwama ndani ya meli hiyo.

Mwanafunzi:’huenda hii ndio mara yangu ya mwisho kukuambia kuwa nakupenda,’ndio ulikuwa ujumbe wa mwanafunzi mmoja kwa jina Shin Young-Jin kwa mamake.
Mama:”na mimi nakupenda mwanangu,” alijibu mama yake Shin kwa ujumbe wa simu bila kujua kilichokuwa kinaendelea.
Kulingana na jarida la Herald nchini humo, Shin alikuwa miongoni mwa watu 179 waliookolewa lakini wazazi wengine waliopokea ujumbe kama huo bado hawajaweza kuwaona watoto wao.
Mawasiliano mengine kati ya mwanafunzi mmoja na babake , yalinukuliwa na shirika la habari la AFP ni haya hapa chini
Mwanafunzi: “baba usijali,nimevaa boya la kujiokoa na niko na wasichana wenzangu. Tuko ndani ya meli na bado hatujaanza kuokolewa.”
Baba: Najua msaada uko njiani,lakini kwa nini hamjaanza kuelea, tafadhali jaribu kuondoka ndani ya meli kama unaweza.”
Mwanafunzi: ”Kuna msongamano mkubwa na meli tayari imeanza kuzama”
Mwanafunzi aliyetuma ujumbe huu bado hajapatikana.
Familia za abiria waliokuwa ndani ya meli hiyo walijawa na hisia wakisubiri taarifa zozote kuhusu wapendwa wao.
Katika ujumbe mwingine wa simu, mwanafuzni mmoja alimtumia ujumbe kakake mkubwa meli ilipoanza kuzama.
Mwanafunzi: “meli imekwama na haisongi walinzi wa baharini wameanza kuwasili kujua hitilafu imetokana na nini’
Kakake:” usiwe na wasiwasi fanya kila mnachoamrishwa kufanya na kila kitu kitakuwa shwari

Read More »

KUMBE HIZI NDIO SABABU KUU ZINAZOWAFANYA WADADA WENGI KUVAA NGUO FUPI.

0 comments

Wengi hudhani wanawake wengi wanaovaa nguo zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili(nusu uchi) huwa wanajiuza. Ukweli ni kuwa hiyo ni sababu mojawapo. 

Wanawake wa kundi hili huvaa nguo zinazoonesha mapaja, kuta za matiti, mgongo au kitovu wakiamini huwavutia wanaume na watawatongoza na kufanya biashara yao ya ngono.
Lakini kuna sababu KUU
Sababu ni kuwa wengi huwa wanavaa vijinguo hivyo ili kuficha udhaifu wa maumbile yao.

-Mathalani msichana huyo yeye mwenyewe akadhani na kuamini kuwa ana sura mbaya, hivyo suluhu yake ya kuficha udhaifu huo ni kuvaa nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi ili kutoa ujumbe kuwa "japo nina sura mbaya lakini miguu, tumbo, au matiti yangu mazuri". Lengo ni kuonesha kuwa japo ana sura mbaya lakini ana sehemu nyingine nzuri na zinazovutia.
-Au labla binti mzuri wa sura na natural color, lakini hajaolewa. Naye anaweza kuvaa nusu uchi ili kuleta ujumbe kuwa "japo sijaolewa lakini mimi ni mzuri wa sura na viungo vyangu vingine" ili tu kuwavutia wanaume aidha wasione udhaifu wake wa kutoolewa na/au atongozwe.

-Kuna kundi la mwisho wao huvaa nusu uchi kwa vile tu labla anaona rafiki zake wanavaa nguo fupi na wanaambizana wanapendeza. Mfano: binti yuko chuo na akaona wenzio wanavaa nguo fupi na kila mmoja wao akivaa nguo fupi anaambiwa "UMEPENDEZA" hakika hapo binti hujikuta anatafuta vijinguo vya ajabu ili afanane na wenzio "waliopendeza".

Watu hudhani kuwa mavazi huwasilisha tabia. Mfano binti akivaa nusu uchi basi huwa malaya, ukweli ni kuwa mabinti wengi huamini kwa kuvaa nusu uchi watakuwa wameficha udhaifu wao na watakuwa wametoa ujumbe kuwa "kama sina sura nina hiki kizuri".
Chukulia utafiti wa haraka mabinti wengi wenye makalio makubwa huwa na watu huamini wana sura mbaya, kwa kuonesha kuwa wao hawajakosa vyote huvaa suruali za kubana au sketi fupi ili "shughuli"

Read More »

ANGALIA PICHA KIJANA NUSURA KUFA BAADA YA KUIBA NGURUWE UKO MOSHI

0 comments

KATIKA kuelekea sikuu za Krismasi na Mwaka mpya pilika pilika zimeongezeka katika mji wa Moshi na mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla huku vibaka pia wakiendelea na udokozi na wizi wa vitu mbalimbali.
Katika kuthibitisha hilo juzi Tanzania Daima limeshuhudia mkazi wa kijiji cha Nshara, Machame wilayani Hai,ambaye jina lake halikupatikana mara moja amenusurika kuuawa kufuatia kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kumshambulia kwa silaha za jadi baada ya kuiba kitoto cha nguruwe maarufu kama "Kiti moto".
Tukio hilo la aina yake ambalo linaashiria maandalizi ya siku kuu hizo lilitokea juzi majira saa 5.30 asubuhi kijijini humo baada ya mkazi huyo kuonekana akiwa amembeba mnyamya huyo begani akiwa katika mfuko,maarufu kama Sandarusi mithili ya mzigo wa kawaida.
Akizungumzia tukio hilo,mkazi wa kijiji cha Nshara, Husein Mbaruku alisema mtu huyo alionekana akinyata katika banda la Nguruwe akiwa na mfuko wake akiamini kuwa hakuna mtu aliyemuona ingawa wenyeji nao walikuwa wakimvizia ili kuona anachotaka kufanya.


Read More »

PICHA ZAIDI YA UZINDUZI WA GLOBAL TV.. WEMA SEPETU NA GLOBAL DAMU DAMU:

0 comments
  Snura
Wema Sepetu na Profesa Jay wakikata utepe kuzindua rasmi Global Tv Online leo ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd.
Wema na Prof Jay wakifungua kitambaa kuzindua Global Tv Online.
Wasanii wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo (mwenye suti).
Wema Sepetu akimlisha keki Rais wa Bongo Muvi, Steve Nyerere.
Wema, Snura, Shigongo na Dk. Cheni wakichukua msosi katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
Crew ya Global TV Online ikiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi.
Eric Shigongo akiwa katika picha ya pamoja na wasanii pamoja na wafanyakazi wa Global.

Read More »